Alhamisi, 22 Desemba 2016

Matukio mbalimbali ya Mh.Dr.Mary Mwanjelwa

MH DR MARY MWANJELWA AKIZUNGUMZA NA WAMACHINGA NA MADEREVA BODABODA KABWE STENDI ALIWAONYA KUACHA KUTUMIKA KISIASA
MH DR MARY MWANJELWA MBUNGE AKIPOKEA ZAWADI YA MCHELE TOKA KWA WAFANYABIASHARA BIASHARA WA MPUNGA SIDO MBEYA



Jumatatu, 5 Desemba 2016

MH DR MARY MWANJELWA AENDA KUHANI MSIBA MBARALI

Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa akimfunga vitenge vya kuhani msiba Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Mbarali mama Mary Mbwilo nyumbani kwake Chimala  ambaye alifiwa na binti yake mwezi uliopita yeye alipokuwa Bungeni ingawa mwakilishi alimwakilisha Mh Mbunge Kheri wanyofu wa moyo kwa wenzao kama Mh Dr Mary Mwanjelwa

MWANA WA PIPA AENDELEZA ZIARA ZAKE CHIMALA MBEYA

Baada ya kikao cha H/K CCM Mkoa, Mhe Dr Mary Mwanjelwa Mbunge kaendelea na zoezi la kijamii huko Igurusi Mbeya kuzindua filamu ya msanii chipukizi wa kuigiza Nwaka Mwakaponda mkanda uitwao mahakama ya rufaa. Mhe. Diwani wa kata hiyo Hawa Kihwele alikuwepo na viongozi wengine. Mhe. Mary Mwanjelwa alitoa shilingi milioni moja .

Mh Dr Mary Mwanjelwa leo kwenye kikao CCM MKoa

Ijumaa, 2 Desemba 2016

MH MBUNGE AENDELEA NA ZIARA ZA KUSHITUKIZA JIJINI MBEYA

 Akipokea mchele kutoka kwa kina mama waliowakilisha wenzao baada ya Mkutano kumalizika ambapo Mh Mbunge Dr Mary Mwanjelwa aliwaasa wafanyabiashara kuacha kutumika kisiasa
 Mh Mbunge Dr Mary Mwanjelwa akiongea na  Mfanyabiashra wa Mboga mboga katika soko la Soweto Mkoani Mbeya
 Mh Dr Mary Mwanjelwa Mbunge Akisalimiana na Viongozi wa Wafanyabiashara kabwe Mbeya
Wafanyabiashara wa Mama Lishe wakimsikiliza Mh Mbunge Dr Mary Mwanjelwa

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...