Jumatatu, 11 Agosti 2014

KUTOKA KWA WADAU WALIOTEMBELEA BLOG HII

Nimeipenda sana hii siasa sio ugomvi, nawatakia kila la kheri katika majukumu yenu ya kila siku msitumie majukwaa au vyombo vya habari kuchafuana nanyi hampaswi kubagua wanahabari katika harakati zenu kwenye SIASA SIYO UGOMVI, AMANI YA JAMII YETU KWANZA

Nakukubali sana mheshimiwa mbunge, hakika ulichokifanya ni cha kuigwa na kila anayejiita mwanasiasa. Mungu aendelee kukupigania hata utimize malengo yako. WLM kwenye SIASA SIYO UGOMVI, AMANI YA JAMII YETU KWANZA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...