Maandamano yalianzia eneo la Kiwila Motel Soweto Mbeya, tayari kuelekea viwanja vya CCM ILOMBA. Mgeni rasmi Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa.
Mbele ya Mgeni rasmi, maadamano yakipita huku yeye akipungia mkono.
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akisalimiana na Mama Lawa.
Palipo na Mama hapakosi watoto.....
Wadau wa Marymwanjelwa blog nao hawakukosa viwanjani.
Ujasiliamali kwa mwanamke......
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa(kulia) akiwasikiliza mabinti waliozalia nyumbani, wakiwa na bidha zao ambazo zina soko ndani na nje ya nchi.
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akizungumza na akina mama wajasiliamali viwanjani hapo alipowatembelea na kukagua bidhaa zao.
Rehema ngao, akisoma risala kwa niaba ya wanawake wa Jiji la Mbeya.
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akipokea risala.
Burudani.....huyo siyo babu bali ni kijana mdogo wa kundi la Mbalizi maarufu kwa jina la Nguche group.
Wanawake hoyeeeee
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akitoa hotuba yake.
Wanawake waliohudhuria viwanjani hao wakisikiliza hotuba ya Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa.
Vigelegele.......
Najisikia raha kuzaliwa mwanamke....hivyo ndivyo alivyosema Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa.
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akiangalia kipaji cha binti kutoka Chalinze ambaye anapiga danadana kwa kutumia viungo vyake....
Afisa Maendeleo ya jamii Jiji la Mbeya, Vincent Msolla akitoa neno katika siku hiyo ya wanawake.
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akizungumza na waamdishi wa habari katika viwanja hivyo vya CCM ILOMBA.
ASANTENI KWA KUWA NASI.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni