Ijumaa, 7 Machi 2014
JUKWAA LA WAKRISTO TANZANIA MKOA WA MBEYA WAMUOMBEA DR.MARY MWANJELWA. MAOMBEZI YAVUNJA UKATILI WA WATOTO
MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akiwa na viongozi wanawake wa jukwaa la wakristo Jiji la Mbeya. Maombi yamefanyika katika kanisa la Romani Cathilic Pparish ya Mwanjelwa leo Machi, 7,2014.
MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa,akitoa neno la shukrani kwa jukwaa la wanawake wakikristo Jijini Mbeya kwa kumwalika kuwa mgeni rasmi ambapo alitoa sadaka yake ya Tsh.500,000/= kwa ajili ya kusaidia jamii kama yalivyo malengo ya jukwaa hilo.
MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa,akizungumza na uongozi wa chuo kikuu cha SAUT, tawi la Mbeya knachomilikiwa na kanisa Katholic.
Ubarikiwe.
Meza kuu.(Madhabahuni).
MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa,alipoguswa na nyimbo za kuabudu mambo yakawa hivi.
MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa,akiongoza wimbo wa kuabudu usemao; UNASTAHILI KUABUDIWA..
Kusanyiko ndani yakanisa..
Mchungaji Mary Katagile ambaye ni mjane naye alikuwa ni miongozi mwa wageni waalikwa. Akitoa neno ambapo alisema ni Mjane wa watoto saba na wajukuu saba.
Mwakilishi wa ustawi wa jamii Jiji la Mbeya akitoa neno na kuhimiza wanawake kujitokeza wanapokuwa na mimba kwenda kliniki kwa ajili ya vipimo pia vya VVU.......Alitoa ushuda mzito wa mwanafunzi aliyeambukiza wenzake VVU shuleni......
Masister wakiombea sadaka....
Ibada ya maombi imekwisha....
MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akiwa na katibu wa jukwaa hilo Joyce Mbeyela baada ya ibada hiyo ya maombi.
HABARI KAMILI TUNAKULETEA. ENDELEA KUWA NASI.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni