Jumatatu, 3 Machi 2014

SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI YAJADILIWA NA WADAU WALIOKUTANA MOSHI

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas gama akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa Afya kujadili juu ya saratani ya mlango wa kizazi.
Mwakilishi wa mkazi wa shirika la Afya Duniani (WHO) Dk Rufaro Chatora akizungungumza kwa niaba ya wadau wa Maendeleo.
Mkurugenzi huduma za Afya toka wizara ya Afya,Dk Neema Rusibamayile akizungumza kwa niaba ya mganga mkuu wa serikali katika mkutano huo unaofanyika Uhuru Hotel.
Katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro Dk Faisal Issa akizungumza wakati  wa mkutano wa wadau wa Afya kujadili juu ya saratani ya mlango wa kizazi.
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Rombo Anthony Tesha akitoa neno la shukurani katika mkutano wa wadau wa Afya kujadili juu ya saratani ya mlango wa kizazi.
Washiriki katika mkutano huo ambao ni wakuu wa wilaya za Rombo,Hai,Moshi na Siha,wakurugenzi wa halmashauri na watendaji wa Afya katika halmashauri.
Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja .
Mazungumzo ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama,mwakilishi wa WHO,Dk Rufaro Chatora pamoja na mkurugenzi  huduma za Afya toka wizara ya Afya ,Dk Neema Rusibamayile.Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Moshi.

CREDIT;Michuzi matukio

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...