Taarifa za uhakika ambazo zimethibitishwa ni kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara.,
John Tupa, amefariki dunia majira ya saa 5 asubuhi hii katika Hospitali
ya wilaya ya Tarime, baada ya kuanguka ghafla na kutokwa na povu wakati
akitoka nje ya ofisi ya Mkuu wa Wilaya (DC) Tarime.
Kutokana na kuanguka alikimbizwa hospitali lakini wakati wakijiandaa kumpatia matibabu alifariki dunia.
Kutokana na kuanguka alikimbizwa hospitali lakini wakati wakijiandaa kumpatia matibabu alifariki dunia.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni