Ijumaa, 7 Machi 2014

MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA JIJI LA MBEYA KAYAONENI HAYA KALOBE HASA NYAKATI ZA MVUA ZIKINYESHA. WANANCHI WALALAMIKIA VINYESI...

 Chemba za maji machafu zinazodaiwa kutoa uchafu hasa nyakati za mvua na maji kutiririkia kwenye makazi ya watu na kuelekea shule ya Msingi Kalobe Jijini Mbeya.
 Maji machafu yaliyokutwa jana na kamera yetu eneo la Kalobe DDC, yakiwa yanakauka baada ya siku mbili Jijini Mbeya Mvua kutonyesha na kuwapa ahueni wananchi wa maeneo hayo kuona vinyesi na maji machafu yanayotoka kwenye chemba tano eneo hilo.
 Moja ya chemba inayo............
Maji hayo, ni kama yanameremeta vile....

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...