Ijumaa, 7 Machi 2014

FAMILIA YAFANIKISHA CHANGIZO LA KUJENGA ENEO LA KUPITIA WAGONJWA NA KUKARABATI WORD LA WAJAWAZITO HOSPITALI YA MKOA WA MBEYA, KANDORO ACHANGIA MILIONI MOJA

 Rogers Mwamengo na mkewe Anna Rogers, wakiwa nje ya ukumbi wa mikutano wa Mkapa jioni hii ya leo Jijini Mbeya.

Hawa ndiyo waliona kuna umuhimu wa kufanya changizo hilo. 
 
Anna ni Muuguzi wa Hospitali ya Mkoa wa Mbeya, aliwahi kuvujiwa akiwa anatoa huduma, akawaonea huruma wagonjwa.

Mumewe aliota ndoto, wakaguswa na kutoa Milioni tatu za mwanzo. Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro aongoza Harambee. 
 
 Jumla ya Shilingi Milioni 81,684,000 zimepatikana katika harambee hiyo.

Kandoro amesema kuwa fedha taslimu ni Milioni 38 na ahadi Milioni 42.

Amewaomba wakandarasi wajitokeze kwa ajili ya kusaidia wala si kwa ajili ya malipo. Hasa ushauri huku akiwataja wataalam kutoka Chuo kikuu cha MUST.



 Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, Mussa Zungiza akitahidi Milioni Moja za Jiji, na yeye Laki tano.
 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mbeya, Upendo Sanga akiwa kwenye Meza ya Wakurugenzi.
  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mbeya, Upendo Sanga, akitoa Milioni Moja kwa ajili ya Halmashauri yake na kuahidi Laki tano zake binafsi.
  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mbeya, Upendo Sanga, akifurahia baada ya kuahisi na kuchangia kiasi cha Milioni moja.
Baadhi ya Madaktari.
 Kushoto ni MC wa shughuli ya changizo hilo, Charles Mwakipesile, akiwa na kitita cha T.sh, 1,000,000/= zilizoungwa mkono na wadau (marafiki). hapo chini akikabidhi kwa mkuu wa mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...