Jumamosi, 1 Machi 2014

HALMAHAURI YA MBEYA NA MKAKATI WA KUISAFISHA MBALIZI

 Vijana wazalendo Mbalizi chini ya umoja wao wa (UVIWAMBA), wakiwa wanafanya kazi za usafi katika mji wa Mbalizi wilaya ya Mbeya Vijijini mkoani Mbeya. Vijana hao wanajitolea kufanya kazi za usafi ili kuondoa dhana ya vijana kutaka kulipwa kwa kila jambo au kufanyiwa na serikali.


  MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MBEYA, UPENDO SANGA, AKISHIRIKI KUZIBUA MIFEREJI NA VIJANA WA MBALIZI AMBAO WAMEJITOLEA KUFANYA USAFI KATIKA MJI HUO.
 AKIWA NA VIJANA ENEO LA KAZI
 AKIZUNGUMZA NA VIJANA


MKURUGENZI wa Halmashauri ya wilayya Mbeya, Upendo Sanga, amesema kuwa sheria ndogondogo za kuwabana wachafuzi wa mazingira katika mji wa Mbalizi, zitatungwa ili kukiwezesha kikundi cha Umoja wa Vijana wazalendo Mbalizi(UVIWAMBA) kutekeleza vema majukumu yao.

Hayo aliyasema jana katika mkutano wa hadhara wa wananchi wa Kijiji cha Mbalizi.

Mji huo unatarajiwa kuanza kujengwa barabnara za lami hivi karibuni.

Barabara hiyo ya Lami itatoka eneo la Stendi ya zamani na kuzunguka kuelekea Stendi ya wilaya(TARAFANI) na njia ya kwenda kwa MWAKABENGA.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...