Jumatatu, 13 Januari 2014

NAIBU WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII, DR. SEIF RASHID, AKABIDHI VIFAA TIBA MKOA WA MBEYA NA TANGA KWA AJILI YA MRADI WA AFYA YA MAMA NA MTOTO UNAOTEKELEZWA KWA USHIRIKIANO WA MFUKO WA TAIFA BIMA YA AFYA (NHIF) NA BENKI YA MAENDELEO YA WATU WA UJERUMANI-kfw, TAREHE 09/02/2014

 VIFAA HIVYO NA MAJINA YAKE LA,A VINAVYOONEKANA. Vimekabidhiwa leo rasmi katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanywa na Naibu Waziri wa Afya, Dr. Seif Rashid, mkoani Mbeya.







 Kulia ni Meneja wa mfuko wa Taifa wa bima ya Afya mkoa wa Mbeya Dr. Mohamed Kilolile akiwa anazungumza jambo na afisa wa Bima ya Afya, Angel Mziray, katika Hospitali ya mkoa wa Mbeya wakati wa hafla fupi ya kukabidhi rasmi vifaa tiba kwa ajili ya mradi wa KFW.

 Kulia ni Mratibu wa afya ya mama na mtoto, Prisca Butuyuyu, akibadilishana mawazo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa bima ya Taifa ya bima ya Afya Hamis Mdee(kushoto), katika hafla fupi ya kukabidhi vifaa tiba kwa ajili ya mradi wa KFW.
 Kushoto ni Meneja wa NHIF mkoa wa Tanga, Ally Mwakababu,
 Kulia ni mwakilishi wa bank ya watu wa ujerumani, Dada Sharon Kuzilwa, akiwa na Angel wa NHIF.
 Wataalam wa Afya wakiwemo wauguzi....
 Mwakilishi wa bank ya watu wa ujerumani, Dada Sharon Kuzilwa.

 Naibu Waziri wa Afya na ustawi wa jamii, Dr. Seif Rashid, akisoma hotuba yake, katika hafla fupi ya kukabidhi rasmi vifaa vya tiba kwa ajili ya mradi wa KFW, Hospitali ya mkoa wa Mbeya Tarehe 09/01/2014.
 Mganga mkuu wa mkoa wa Mbeya, Dr. Seif Mhina, akitoa shukrani na kwamba atahakikisha vifa hivyo vinatunzwa vema katika matumizi huko wilayani, hayo ameyasema katika hafla fupi ya kukabidhi rasmi vifaa vya tiba kwa ajili ya mradi wa KFW, Hospitali ya mkoa wa Mbeya Tarehe 09/01/2014.

Katikati ni Mkuu wa wilaya ya Mbeya, DR. Norman Sigalla, akipokea box la kifaa cha kutolea uchafu kwa mtoto mchanga anayeshindwa kupumua vizuri baada ya uzaliwa, kutoka kwa Naibu Waziri wa Afya na ustawi wa jamii, Dr. Seif Rashid, katika hafla fupi ya kukabidhi rasmi vifaa vya tiba kwa ajili ya mradi wa KFW, Hospitali ya mkoa wa Mbeya Tarehe 09/01/2014.

 Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya, Hamis Mdee(kulia), akimkabidhi sanduku lenye kifaa tiba, Naibu Waziri wa Afya na ustawi wa jamii, Dr. Seif Rashid, katika hafla fupi ya kukabidhi rasmi vifaa vya tiba kwa ajili ya mradi wa KFW, Hospitali ya mkoa wa Mbeya Tarehe 09/01/2014.

 Kulia ni Naibu Waziri wa Afya na ustawi wa jamii Dr. Seif Rashid, akimkabidhi mwakilishi wa mkuu wa mkoa wa Tanga, Mary Mlay, mashine, katika hafla fupi ya kukabidhi rasmi vifaa vya tiba kwa ajili ya mradi wa KFW, Hospitali ya mkoa wa Mbeya Tarehe 09/01/2014.
Kulia ni Naibu Waziri wa Afya na ustawi wa jamii, Dr. Seif Rashid, akimkabidhi mashine Mkuu wa wilaya ya Mbeya, Dr. Norman Sigalla, katika hafla fupi ya kukabidhi rasmi vifaa vya tiba kwa ajili ya mradi wa KFW, Hospitali ya mkoa wa Mbeya Tarehe 09/01/2014
Kulia ni Naibu Waziri wa Afya na ustawi wa jamii, Dr. Seif Rashid, akimkabidhi kitanda, Mkuu wa wilaya ya Mbeya, Dr. Norman Sigalla, katika hafla fupi ya kukabidhi rasmi vifaa vya tiba kwa ajili ya mradi wa KFW, Hospitali ya mkoa wa Mbeya Tarehe 09/01/2014
 Kulia ni mwakilishi wa mkuu wa mkoa wa Tanga,Mary Mlay, akishukuru kwa Naibu Waziri wa Afya na ustawi wa jamii, Dr. Seif Rashid, katika hafla fupi ya kukabidhi rasmi vifaa vya tiba kwa ajili ya mradi wa KFW, Hospitali ya mkoa wa Mbeya Tarehe 09/01/2014

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...