Jumanne, 7 Januari 2014

IJUE BAADHI YA MITAA YA JIJI LA MBEYA

 Hapa ni barabarakutoka eneo la Soweto kuelekea chuo kikuu cha TEKU na shule ya sekondari Southern Highland inayomilikiwa na Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi, Philip Mulugo.
 Hili ni eneo la kungilia ofisi za SIDO Mbeya eneo la Block T. Jijini Mbeya.
 Mbeya sasa inapendeza, hili ni eneo la kwenda Shule ya Msingi Samora, Airport Jijini Mbeya.
 Hapa ni barabara inayotok eneo la Esso, Jijini Mbeya kuelekea Forest Mpya, Jijini Mbeya. Sasa ni Lami tupu, hii yote inatokana na utekelezaji wa ilani ya CCM kwa msaada wa benki ya Dunia.
 Hapa ni eneo la kuelekea chuo cha Mzumbe Campas ya Mbeya. Ni Forest ya zamani barabara ya Benki kuu.
 Barabara ya Hosptali ya mkoa wa \Mbeya.

 Eneo la uwanja wa ndege wa awali kabla ya unaotumika sasa wa Songwe, uwanja huu upo Jijini Mbeya eneo la Airport Mwanjelwa kwa sasa kipende kinatumika kwa kilimo kama inavyoonekana.
Hapa ni soko la Soweto Jijini Mbeya.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...