Jumanne, 7 Januari 2014

WAKULIMA WAZIDI KUHARIBU VYANZO VYA MAJI KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA RUAHA.

Kuna  kila  sababu ya  serikali  kuchukua hatua za haraka  kunusuru   wanyama  wanaotegemea  maji  katika hifadhi ya  Ruaha Iringa  kutokana na hali ya mto   wa  Ruaha  kuu  hadi  sasa hali ya maji bado haifurahishi  kama ambavyo  unavyoona  viboko hawa  wakiwa nje ya mto mchana jambo  ambalo  ni ajabu  kwani kwa kawaida  viboko wamekuwa wakitoka mtoni majira ya usiku ,pembeni ni mamba nao  wakiwa nje ya mto
Viboko  wakitafuta  malisho  nje ya mto  Ruaha  kuu
Kundi la  tembo  wakiwa katika malisho  hifadhi ya  Ruaha  Iringa
Viboko  wakiwa  wamebabuka kwa   kutokana na ukame-Kwa hisani  ya Francis Godwin

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...