Jumatatu, 2 Machi 2015

ZIARA YA WAZIRI MKUU PINDA MKOANI MBEYA

 Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Mwanjelwa wa pili kutoka kulia, akiwa anabadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Vijijini, Mch. Luckson Mwanjale na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mbeya jana, wakati wakimsubiri Waziri Mkuu Mizengo Pinda eneo la Songwe, katika wilaya ya Mbeya.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimiana na kurugenzi wa Jiji la Mbeya jana, katika viwanja vya shule ya sekondari Songwe, Jimbo la Mbeya Vijijini. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Mbeya, Prof. Norman Sigalla.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...