Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaki Okada
wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta
leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam.
Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya
mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika
jiji la Dar es Salaam. Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe
Saidi Meck Sadiki, Meya wa Konondoni Mhe, Mbunge wa Kawe Mhe Halima
Mdee, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Musa Iyombe na viongozi wengine
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni