Alhamisi, 3 Aprili 2014

MALORI YAKWAMA TUNDUMA KWA SIKU TATU

IDADI kubwa ya Mlori yaliyokuwa yakitakiwa kuelekea nchini Zambia na Kongo, yamekwamba Tunduma wilayani Momba mkoani Mbeya kwa siku ya tatu sasa.

Sababu imeelezwa kuwa ni kutokana na ubovu wa barabara upande wa Zambia.

Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya, amethibitisha kuwepo kwa adha hiyo mjini Tunduma.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...