Dr.Mary
Mwanjelwa Mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Mbeya, akisalimiana na
makada wa chama hicho kushoto ni Kada wa CCM Richard Kasesela.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya
Mbeya Mh. Dr. Norman Sigalla wakati alipokuwa akizungumza jambo naye
katikati ni Kada wa CCM, Charles Mwakipesile na kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya
Abas Kandoro.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya SACP AHMED Z. MSANGI wakati wa mapokezi hayo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na viongozi wanawake wa mkoa wa Mbeya.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni