Jumapili, 19 Januari 2014

ZIARA YA MBUNGE DR.MARY MWANJELWA, ZINZAVYOIBUA UJASILIAMALI MBEYA


 Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya Dr. Mary Mwanjelwa akiwa na baadhi ya wananchi wa Majengo Jijini Mbeya katika ziara zake.

 Akimkabidhi Tsh. 200,000 kiongozi wa kikundi cha kukuza vipaji vya vijana Jijini Mbeya.
 Dr. Mary Mwanjelwa, akimkabidhi Shaban Robert mashine ya kufyatulia tofali za kisasa kwa ajili ya timu ya Veteran ya Jiji la Mbeya. Mashine hiyo inagharama ya Tsh.540,000 na ameahidi kuwatafutia mtaalam wa mafunzo na kuwatafutia soko la tofali hizo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...