Jumapili, 1 Desemba 2013

MAKAMBA AWAPA SOMO WASOMI WA VYUO VIKUU MBEYA KUHUSU MWELEKEO WA CCM.

 Kushoto ni January Makamba akiwa na Mbunge Mary Mwanjelwa katika ukumbi wa Mtenda Sunset Soweto Mbeya, wakati wa kongamano la wanavyuo lililolenga kuwapokea(kuwakaribisha) wanaCCM wasomi wanaoanza masomo yao katika vyuo vilivyopo mkoani Mbeya.
 Kulia ni Dr. Norman Sigalla ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Mbeya, akiwa ndani ya ukumbi.
 January Makamba akiwa anazungumza jambo na wasomi wa vyuo mkoani Mbeya.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...