Ijumaa, 29 Novemba 2013

MAKABILA YALIYOPO MKOANI MBEYA



   1.  Wanyakyusa 
    2.  Wasafwa
   3.  Wamalila
   4.  Wandali
   5.  Wanyiha
   6.  Wakinga
   7.  Wabungu
   8.  Wanyamwanga na
   9.  Wasangu


     Hali ya hewa katika mkoa wa Mbeya.

    Mkoa una hali ya hewa nzuri na ni milima milima katika baadhi ya wilaya zake.

    Wilaya ya Kyela ni Tambalale na kuna Joto.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...