Jumatano, 30 Novemba 2016

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Alejesha Ardhi kwa Wananchi 680 Kyela

Ni baada YA HALMASHAURI YA Kyela kushindwa kuwalipa fidia kwa miaka 3
– Awataka wananchi wapatiwe hati wajenge au kuuza lakini ujenzi uzingatie ramani YA mpango miji
– Mbunge Dr Mwekyembe na  Dr Mary mwanjelwa waunga Mkono 
Mkuu wa MKOA wa Mbeya Amos Makalla  ameiagiza HALMASHAURI YA Kyela kuwarejeshea wananchi viwanja 680 ambavyo walivipima Kijiji cha KANDETE ili viuzwe baada YA kukamilisha  kuwalipa wananchi fidia lakini Mpaka uamuzi huu unafanyika ni miaka mitatu wananchi hao Hao hawajalipwa fidia
Amewataka wananchi kushirikiana na HALMASHAURI ya Kyela iwapatie hati na sharti mojawapo kwa wananchi au watakaowauzia wajenge kwa mujibu wa mpango miji
Umesema uamuzi huu una lengo ka kuwaondolea adha wananchi kuendelea kusubiria fidia ambayo HALMASHAURI wamekosa Fedha lakini pia itawapa fursa wananchi wenyewe baada ya kupata hati watauza wenyewe

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...