Jumamosi, 3 Oktoba 2015

DR.MARY MWANJELWA, MGENI RASMI KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA BONDE LA SONGWE KESHO TAREHE4.10.2015

Mgombea Udiwani kata ya Bonde la Songwe, Jimbo la Mbeya Vijijini, Ayasi Ramadhani Njarambaha.

 

 Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Mwanjelwa, akimnadi mgombea udiwani wa kata ya Mbalizi road, Jimbo la Mbeya Mjini, Adam Simbaya wiki hii.
 Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Mwanjelwa, akimnadi mgombea udiwani wa kata ya Mbalizi road, Jimbo la Mbeya Mjini, Adam Simbaya wiki hii.
 Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Mwanjelwa,akiwapungia mkono wananchi waliokuwa wamejitokeza kwenye kampeni za udiwani na Ubunge kata ya Mbalizi Road, jimbo la Mbeya Mjini, wiki hii.
 Mgombea udiwani wa kata ya Mbalizi road, Jimbo la Mbeya Mjini, Adam Simbaya, akimweleza Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Mary Mwanjelwa, baadhi ya kero za kata hiyo.



 Mgombea Ungunge kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mbeya Mjini, Capt. SambweShitambala, akinadi sera katika mkutano wa hadhara kata ya Mbalizi Road wiki hii.
 Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Mwanjelwa, akimpa mkono wa Kheri, mgombea ubunge Jimbo la Mbeya Mjini, Capt. Sambwee Shitambala.

 Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mbeya Mjini, Capt. SambweShitambala(kulia), akinadiwa na kampeni meneja wake, Charles Mwakipesile, katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mbalizi Road wiki hii.
 
 
Picha ya chini ya Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Mwanjelwa, akiwa kwenye moja ya mikutano ya hadhara kuwanadi wagombea Mbeya Mjini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...