by Rashid Mkwinda
![]() |
| Mke wa maarehemu Emmanuel Mbuza akiongozwa kuweka shada la maua katika kaburi la mumewe |
![]() |
| Kaka wa marehemu Emmanuel Mbuza, Oscar Mbuza akiongoza ndugu zake kuweka shada la maua katika kaburi la ndugu yake kwenye makaburi ya familia eneo la Kalobe Jijini Mbeya |
![]() |
| Umoja wa Vijana wa CCM wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Mbuza ambaye alikuwa ni Katibu Uenezi na Itikadi wa CCM Jiji la Mbeya |
![]() |
| Mmoja wa wanafunzi wa shule ya Msingi Umoja akimkabidhi bahasha ya rambirambi mtoto wa marehemu Mbuza, Chriprin Mbuza |
![]() | ||
| Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Sambwee Shitambala akimkabidhi rambirambi kaka wa marehemu Leonard Mbuza. | by Rashid Mkwinda |










































Hakuna maoni:
Chapisha Maoni