Alhamisi, 22 Mei 2014

MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MBEYA DR. MARY MWANJELWA, ATEMBELEA WAATHIRIKA WA MAFURIKO KYELA, AKABIDHWA MASHUKA NA MADAWATI NA NMB

Kulia ni Meneja wa benki ya NMB Kanda ya nyanda za juu kusini LUCRESIA MAKIRIYE, akimkabidhi mashuka Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa Jijini Mbeya.


 Meneja wa benki ya NMB Kanda ya nyanda za juu kusini LUCRESIA MAKIRIYE, akizungumza na waandishi wa habari.
 Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa Jijini Mbeya leo, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhiwa mashuka na madawati ya shule za msingi, alivyoomba katika benki ya NMB.

  Meneja wa benki ya NMB Kanda ya nyanda za juu kusini LUCRESIA MAKIRIYE, akizungumza na waandishi wa habari.
 Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akipokelewa wilayani Kyela mkoani Mbeya leo.
 Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akiwa Ofisini kwa mkuu wa wilaya ya Kyela.

 Kamati ya maafa wilaya ya Kyela.





 Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akiwasalimu wanawake na kuwapa pole katika Kijiji cha Nyerere wilayani Kyela mkoani Mbeya.





 Usafiri huo......madaraja yameharibika....
 Katibu wa UWT Mkoa wa Mbeya, Mariam. Akivuka daraja Mpunguti wilayani Kyela mkoani Mbeya.

 Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akivuka daraja.
 Mjumbe wa kamati tendaji ya UWT Mbeya, Prisca Mahundi, akivuka daraja katika Kijiji cha Mpunguti, wilaya ya Kyela mkoani Mbeya.


 Mchele wa Kyela......
 Tunatwanga Mchele wa Kyela hapa......
 Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akipiga magoti na kuwapa pole waathirika wa mafuriko wilayani Kyela mkoani Mbeya leo.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...