Jumapili, 25 Mei 2014

DR. MWANJELWA AMTEMBELEA HOSPITALI VICKY KAMATA

Mhe Dkt. Mary Mwanjelwa alipokwenda kumfariji Mbunge mwenzie leo Mhe Vicky Kamata ambaye amelazwa Tabata Hospital  baada ya kuugua ghafla

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...