Jumanne, 21 Januari 2014

BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA, PETER KALAGHE, AWAKARIBISHA WABUNGE WANAWAKE WA TANZANIA

Balois wa Tanzania nchini Uingereza Amb. Peter Kalaghe katikati mwenye suti akiwa na Wabunge Wanawake waliokwenda kutembelea ofisini kwake Jana. Wabunge hao wakiongozwa na Mwenyekiti wa TWPG mhe. Mama Anna Abdallah -kushoto na Naibu Katibu Mkuu wa TWPG Dk. Mary MWANJELWA kulia mwenye koti la chuichui-wapo nchini Uingereza kwa mwaliko wa Bunge la Uingereza-CPA kwa mafunzo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...