Alhamisi, 5 Desemba 2013

KUIMARISHA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) WILAYA YA MBEYA MJINI.

 Kushoto ni Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa akiwa katika jukwaa viwanja vya Ruanda Nzovwe(CCM ILOMBA MBEYA), pembeni yake ni MNEC wa wilaya ya Mbeya, Capt. Sambwee Shitambala.
 Kushoto ni Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, Nape Nnauye na Capt. Sambwee Shitambala.
 Matembezi ya hisani kuelekea viwanja vya CCM ILOMBA MBEYA, wakati wa ziara ya katibu mkuu wa CCM Taifa, ndugu Kinana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...