Ijumaa, 22 Novemba 2013

WILAYA ZA MKOA WA MBEYA

   MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO
     
  Baadhi ya wakuu wa wilaya za mkoa wa Mbeya, wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Mbeya  Bw. Abbas Kandoro  pamoja na aliyekuwa Katibu tawala wa mkoa Bi. Mariam Mtunguja, pamoja na baadhi ya waandishi wa habari, mara baada ya kuapishwa.
 
    1.  Kyela 
    2.  Rungwe

    3.  Ileje

    4.  Momba

    5.  Mbozi

    6.  Chunya

    7.  Mbeya Vijijini

    8.  Mbeya Mjini

    9.  Mbarali

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...