Washiriki
wa Semina ya wadau watakaoshiriki katika Utafiti wa Ujifunzaji wa
Watoto (Wanafunzi) walio na Umri kati ya Miaka Saba hadi 16 katika
Kusoma Kiswahili, Kiingereza na Kufanya Hesabu inayofanyika katika
Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime kuanzia leo Septemba 22,2015 hadi
kesho Septemba 23, 2015 wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi
Enock Waitara (Wa pili kushoto Waliokaa) ambae ni Afisa Elimu Wilaya ya
Tarime Mkoani Mara.
Na:Binagi Media Group
Semina
hiyo imeratibiwa na Shirika la Maendeleo Tarime SHIMATA chini ya
Shirika la TWAWEZA kupitia mradi wake wa UWEZO ambao unafanya tathmini
ya Kielimu katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda kwa wanafunzi walio
na umri wa miaka Saba hadi 16 katika kujua kusoma Kiswahili, Kiingereza
na Kufanya Hesabu.
Baada
ya Semina hiyo, Washiriki hao watatembelea shule za Msingi pamoja na
Kaya mbalimbali kwa ajili ya utafiti huo na baadae kuwasilisha taarifa
yao kwa SHIMATA na baadae TWAWEZA kwa ajili ya kupata tathimini ya hali
ya elimu ilivyo Wilayani Tarime. Nchini Tanzania Mradi huo wa UWEZO
unajumuisha Wilaya 159.
Akifungua
Semna hiyo, Afisa Elimu Wilaya ya Tarime Enock Waitara amewataka
washiriki hao kuja na tathimi ya hali halisi ya kielimu Wilayani Tarime
na namna ya kufanya ili kupandisha kiwango cha ufaulu kwa kuwa tafiti
zilizopita zinaonyesha kuwa hali ya ufaulu kwa shule za msingi siyo
nzuri huku akisikitishwa wanafunzi kumaliza darasa la saba na kuijiunga
na kidato cha kwanza huku wakiwa hawajui kusoma na kuandika.
Washiriki
wa Semina ya wadau watakaoshiriki katika Utafiti wa Ujifunzaji wa
Watoto (Wanafunzi) walio na Umri kati ya Miaka Saba hadi 14 katika
Kusoma Kiswahili, Kiingereza na Kufanya Hesabu inayofanyika katika
Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime kuanzia leo Septemba 22,2015 hadi
kesho Septemba 23, 2015 wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi
Enock Waitara (Wa pili kushoto Waliokaa) ambae ni Afisa Elimu Wilaya ya
Tarime Mkoani Mara.
Washiriki
wa Semina ya wadau watakaoshiriki katika Utafiti wa Ujifunzaji wa
Watoto (Wanafunzi) walio na Umri kati ya Miaka Saba hadi 14 katika
Kusoma Kiswahili, Kiingereza na Kufanya Hesabu inayofanyika katika
Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime kuanzia leo Septemba 22,2015 hadi
kesho Septemba 23, 2015 wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi
Enock Waitara (Wa pili kushoto Waliokaa) ambae ni Afisa Elimu Wilaya ya
Tarime Mkoani Mara.
Washiriki
wa Semina ya wadau watakaoshiriki katika Utafiti wa Ujifunzaji wa
Watoto (Wanafunzi) walio na Umri kati ya Miaka Saba hadi 14 katika
Kusoma Kiswahili, Kiingereza na Kufanya Hesabu inayofanyika katika
Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime kuanzia leo Septemba 22,2015 hadi
kesho Septemba 23, 2015 wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi
Enock Waitara (Wa pili kushoto Waliokaa) ambae ni Afisa Elimu Wilaya ya
Tarime Mkoani Mara.
Edward Mulemwa ambae ni Mratibu wa Mradi wa UWEZO Wilayani Tarime akizungumza wakati wa semina

Mwenyekiti wa Shirika la Maendeleo Tarime SHIMATA Joseph Magabe akizungumza wakati semina
Mgeni Rasmi ambae ni Afisa Elimu Wilaya ya Tarime Enock Waitara
Mgeni Rasmi ambae ni Afisa Elimu Wilaya ya Tarime Enock Waitara akifungua Semna
Seemina ikiendelea
Washirki wa Semina
Wshiriki wa Semina
Washiriki wa Semina
Washiriki wa Semina
Chai
Chai
Chai
Muda wa Chai
Mapumziko kwa ajili ya chai
Washiriki wa Semina Wakitokelezea na kamera ya BMG
Kushoto
ni Mwanahabari kutoka Sahara Media Group akifanya Mahojiano na Edward
Mulemwa ambae ni Mratibu wa Mradi wa UWEZO unaosimamiwa na Taasisi ya
TWAWEZA Wilayani Tarime
Kushoto
ni Mwanahabari kutoka Sahara Media Group akifanya mahojiano na
Mwenyekiti wa Shirika la Maendeleo Tarime SHIMATA Joseph Magabe (Kulia)
Baita Matinyi ambae ni Mratibu kutoka Shirika la Maendeleo Tarime SHIMATA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni