Special seats Member of Parliament for Chama cha Mapinduzi, lawmaker Dr Mary Mwanjelwa.
MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Mary Mwanjelwa, ameihoji serikali kuhusu tatizo la simu mtumiaji anapokuwa katika wilaya ya Kyela.
Mheshimiwa Mwanjelwa, alitaka kujua ni lini Serikali itatatua tatizo la simu unapofika eneo la kata za mpakani kati ya Malawi na Tanzania ambapo mtumiaji akifika katika maeneo hayo, analetewa ujumbe unaosema ''Welcome to Malawi. Feel free to roam ......for assistance, call +265999900121
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni