Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini Mhe Radhia Msuya akisaini
kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi
ya Rais Ikulu Bwana Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam
kufuatia kifo cha mwanaye Private Brian Salva Rweyemamu kilichotokea
jana katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini baada ya kuugua kwa muda
mfupi.
Mkuu wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Mstaafu Mhe Alfred Tibaigana akisaini
kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi
ya Rais Ikulu Bwana Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam
kufuatia kifo cha mwanaye Private Brian Salva Rweyemamu kilichotokea
jana katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini baada ya kuugua kwa muda
mfupi.
Mstahiki Meya wa Ilala Jerry Silaa akisaini
kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi
ya Rais Ikulu Bwana Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam
kufuatia kifo cha mwanaye Private Brian Salva Rweyemamu kilichotokea
jana katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini baada ya kuugua kwa muda
mfupi.
Jaji wa Mahakama Kuu akisaini
kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi
ya Rais Ikulu Bwana Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam
kufuatia kifo cha mwanaye Private Brian Salva Rweyemamu kilichotokea
jana katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini baada ya kuugua kwa muda
mfupi.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mstaafu Mama Mary Chipungahelobaada ya kusaini kitabu
cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi ya Rais
Ikulu Bwana Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia kifo
cha mwanaye Private Brian Salva Rweyemamu kilichotokea jana katika
hospitali ya jeshi Lugalo jijini baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki akisaini
kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi
ya Rais Ikulu Bwana Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam
kufuatia kifo cha mwanaye Private Brian Salva Rweyemamu kilichotokea
jana katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini baada ya kuugua kwa muda
mfupi.
Katibu wa WAMA Bw. Daudi Nasibu baada ya kusaini kitabu
cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi ya Rais
Ikulu Bwana Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia kifo
cha mwanaye Private Brian Salva Rweyemamu kilichotokea jana katika
hospitali ya jeshi Lugalo jijini baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Mfiwa Salva Rweyemamu akipokea pole toka kwa mpiganaji Athumani Hamisi
Mpiganaji Athumani Hamisi akitoa pole kwa Mama Isabela Salva Rweyemamu
Mfiwa Salva Rweyemamu akipewa pole na Afande Mstaafu Alfred Tibaigana
Afande Mstaafu Alfred Tibaigana akibadilishana mawazo na baadhi ya waombolezaji
Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim akiongea na mfiwa Bw. Salva Rqweyemamu, Kulia ni Mama Mary Chipungahelo
Mwili wa marehemu ukiwasili nyumbani kwa baba yake leo
Bw Salva Rweyemamu na ndugu na marafiki wa karibu wakipokea mwili wa marehemu
Rafiki wa karibu wa wafiwa akisaini
kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi
ya Rais Ikulu Bwana Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam
kufuatia kifo cha mwanaye Private Brian Salva Rweyemamu kilichotokea
jana katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini baada ya kuugua kwa muda
mfupi.
Salva na mkewe Isabella wakifarijiana baada ya mwili wa mtoto wao kuwasili nyumbani kwao
Salva akiwa na Rais wa TFF Jamal Malinzi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka akisani kitabu cha maombolezo
Dkt Gideon Shoo akimuongoza mfiwa nje baada ya kupokea mwili wa marehemu. | CREDIT;Michuzi |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni