Mwalimu wa mchezo wa Netiboli kutoka 
Sekondaraia ya Sangu, Zahara Shabani, akipanga kikosi cha timu yake 
kabla ya  kuvaa na  timu ya Sekondari ya wasichana ya Lolezi.
Mchezo huo uliofanyika katika viwanja Cathoric Youth Center jiji Mbeya. 
Wanafunzi kutoka Sekondari ya wasaichana
 ya Loloza ya jiji Mbeya, wakifuatilia kwa makini mchezo wa Netiboli 
baina ya timu ya shule yao, ilikuwa ikimenyana na timu ya wasichana ya 
Sangu.
Katika mchezo wa fainali za Umiseta 
 kundi ‘C’ kutoka sekondari za jiji la Mbeya na Sangu walifanikiwa kuwa 
mabingwa katika kundi hilo baada ya kuifunga Loleza kwa jumla ya magoli 
16 –14, mchezo huo ulipigwa juzi katika viwanja vya Cathoric Youth 
Center.
 (Picha na Kenneth Ngelesi)


 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni