Picha
 Rasmi ya Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John 
Pombe Joseph Magufuli itaanza kuuzwa Januari 08, 2015, katika Ofisi za 
Idara ya Habari (MAELEZO) Mtaa wa Samora.
Kila
 nakala ya picha hiyo itauzwa shilingi Elfu Kumi na Tano tu bila fremu. 
 Picha ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere itauzwa shilingi Elfu 
Tano tu.  Aidha, Picha hizo zitauzwa katika Ofisi za Wakala wa Huduma ya
 Ununuzi Serikalini (GPSA). 
 
Picha hizo zinatakiwa kutundikwa katika ofisi zote za Serikali, Taasisi za Umma, Mashirika na Ofisi binafsi. Kila ofisi inatakiwa iwe na picha ya Mhe. Rais pamoja na Baba wa Taifa.
Picha hizo zinatakiwa kutundikwa katika ofisi zote za Serikali, Taasisi za Umma, Mashirika na Ofisi binafsi. Kila ofisi inatakiwa iwe na picha ya Mhe. Rais pamoja na Baba wa Taifa.
Hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Idara ya Habari(MAELEZO) ndio yenye Haki miliki ya picha hiyo

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni