Picha na Sanga Festo Jr.
Hivyo Uchaguzi huu ni DILI vs KAZI,Hivyo kazi mbayo ni J.Pombe Magufuli itashinda kwa kishindo.
Furaha"
Mbali 
na hilo Nchimbi amewaomba Wananchi kufanya siasa za kistaarabu na 
kujitokeza kwa wingi siku ya Tar.25.10.2015 kwenye vituo vya kupiga kura
 wakiwa na vitambulisho vyao. Wananchi wakifuatilia Mkutano
Wananchi wakifuatilia Mkutano Mwigulu,Nchimbi na Bashe wakisuka Mkakati wa kuhamasisha Wananchi kujitokeza kuipigia Kura CCM siku ya Uchaguzi.
Mwigulu,Nchimbi na Bashe wakisuka Mkakati wa kuhamasisha Wananchi kujitokeza kuipigia Kura CCM siku ya Uchaguzi. Comrade Emmanuel Nchimbi na Mwigulu Nchemba wakimnadi Mbunge mtarajiwa wa Nzega ndg Bashe kwa Wananzega.
Comrade Emmanuel Nchimbi na Mwigulu Nchemba wakimnadi Mbunge mtarajiwa wa Nzega ndg Bashe kwa Wananzega. Wananchi
 wa Kata ya Ndala Jimbo la Nzega Vijijini wakiwa wamembeba Mbunge wao 
mtarajiwa Ndg.Hamis Kigwangala hii leo mara baada ya Mkutano wa kuomba 
kura kwa wananchi ili aweze kushinda nafasi ya Ubunge kwenye Uchaguzi 
mkuu wa tar 25/10/2015.
Wananchi
 wa Kata ya Ndala Jimbo la Nzega Vijijini wakiwa wamembeba Mbunge wao 
mtarajiwa Ndg.Hamis Kigwangala hii leo mara baada ya Mkutano wa kuomba 
kura kwa wananchi ili aweze kushinda nafasi ya Ubunge kwenye Uchaguzi 
mkuu wa tar 25/10/2015. KIgwangala akiomba Kura kwa Wananchi wa kata ya Ndala.
KIgwangala akiomba Kura kwa Wananchi wa kata ya Ndala. Mwigulu
 Nchemba na Hamis Kigwangalla wakiagana na Wananchi wa kata ya ndala 
mara baada ya Mkutano wa kampeni wa chama cha Mapinduzi jimbo la Nzega 
Vijijini.
Mwigulu
 Nchemba na Hamis Kigwangalla wakiagana na Wananchi wa kata ya ndala 
mara baada ya Mkutano wa kampeni wa chama cha Mapinduzi jimbo la Nzega 
Vijijini. Wananchi
 wa kata ya shimbo wakifuatilia Mkutano wa Chama cha Mapinduzi wa 
kampeni za Ubunge wa Mh.Kigwangalla hii leo kwenye Kata ya Shimbo.
Wananchi
 wa kata ya shimbo wakifuatilia Mkutano wa Chama cha Mapinduzi wa 
kampeni za Ubunge wa Mh.Kigwangalla hii leo kwenye Kata ya Shimbo. Wananchi
 wa kata ya Shimbo wakionesha Ishara ya kuwa KURA zao zote ni kwa 
J.Pombe Magufuli,Ubunge kwa Kigwangalla na Madiwani wa CCM kwa jimbo la 
Nzega Vijijini.
Wananchi
 wa kata ya Shimbo wakionesha Ishara ya kuwa KURA zao zote ni kwa 
J.Pombe Magufuli,Ubunge kwa Kigwangalla na Madiwani wa CCM kwa jimbo la 
Nzega Vijijini. Mwigulu
 Nchemba akizungumza na Wananchi wa Kata ya shimbo juu ya Umuhimu wa 
Kuichagua CCM kwa maendeleo ya Nzega na Jimbo jirani jipya la Igunga 
Kusini.
Mwigulu
 Nchemba akizungumza na Wananchi wa Kata ya shimbo juu ya Umuhimu wa 
Kuichagua CCM kwa maendeleo ya Nzega na Jimbo jirani jipya la Igunga 
Kusini. Mwigulu,KIgwangalla,
Mwigulu,KIgwangalla, Sehemu ya Maelfu ya Wananchi waliofika kwenye mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za Ubunge jimbo la Nzega Mjini hii leo.
Sehemu ya Maelfu ya Wananchi waliofika kwenye mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za Ubunge jimbo la Nzega Mjini hii leo.
chanzo;michuzi blog. 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni