Mkataba wa Juma Kaseja wa kujiunga na klabu ya Mbeya City umesainiwa August 19 mbele ya meneja wake mpya Athumani Tippo
Kabla ya kusaini mkataba na Mbeya City Juma Kaseja
alikuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha zaidi ya miezi nane baada ya
kuingia katika mgogoro wa kimkataba na iliyokuwa klabu yake ya zamani ya
Yanga nakufanya kesi hiyo kutinga mahakamani.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni