
ALIYEKUWA katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), wilaya ya Mbeya mjini mkoani Mbeya, EMMANUEL JOSEPH
MBUZA, amefariki dunia.
Radio aliyokuwa akiimiliki Jijini Mbeya, SWEET FM 90.7 MBEYA, imeendelea kupiga muziki wa nyimbo za Injili.
Mipango ya mazishi inafanyika kwa kaka yake tabata-Dar es salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni