| Mganga mkuu wa mkoa wa Mbeya Dk Seif Mhina akimkaribisha mgeni rasmi | 
| Mratibu Malaria mkoa wa Mbeya Salehe Mwango akisoma taarifa fupi kwa mgeni rasmi | 
| 
Wamiliki na wahudumu wa vituo vy afya
vya binafsi wakiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi katika uzinduzi huo | 
| Nassoro s Mohamed Mtaalamu wa Afya PSI Kanda ya nyanda za juu kusini akifafanua jambo kwa wamiliki wa vituo binafsi vya afya katika uzinduzi huo | 
| kipimo cha haraka cha malaria-mRDT | 
| Picha ya pamoja Na Mbeya yetu | 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni