Mkuu 
wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas gama akizungumza wakati wa ufunguzi wa 
mkutano wa wadau wa Afya kujadili juu ya saratani ya mlango wa kizazi.
Mwakilishi wa mkazi wa shirika la Afya Duniani (WHO) Dk Rufaro Chatora akizungungumza kwa niaba ya wadau wa Maendeleo.
Mkurugenzi
 huduma za Afya toka wizara ya Afya,Dk Neema Rusibamayile akizungumza 
kwa niaba ya mganga mkuu wa serikali katika mkutano huo unaofanyika 
Uhuru Hotel.
Katibu
 tawala mkoa wa Kilimanjaro Dk Faisal Issa akizungumza wakati  wa 
mkutano wa wadau wa Afya kujadili juu ya saratani ya mlango wa kizazi.
Mwenyekiti
 wa halmashauri ya wilaya ya Rombo Anthony Tesha akitoa neno la 
shukurani katika mkutano wa wadau wa Afya kujadili juu ya saratani ya 
mlango wa kizazi.
Washiriki
 katika mkutano huo ambao ni wakuu wa wilaya za Rombo,Hai,Moshi na 
Siha,wakurugenzi wa halmashauri na watendaji wa Afya katika halmashauri.
Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja .
Mazungumzo
 ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama,mwakilishi wa WHO,Dk 
Rufaro Chatora pamoja na mkurugenzi  huduma za Afya toka wizara ya Afya 
,Dk Neema Rusibamayile.Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Moshi.CREDIT;Michuzi matukio
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni