Baadhi
 ya wajumbe wa mkutano wa umoja wa wanawake vijana wa kikristo duniani 
walipofanya ziara katika kituo cha afya cha Kaloleni jijini arusha 
kujionea hali ya huduma kwa akina mama wajawazito na wasichana wenye 
ujauzito.
 Bi
 Severa joseph akitoa maelezo ya aina ya dawa zinazotumika kwa akina 
mama wajawazito katika kituo cha afya Kaloleni cha jijini arusha kwa 
baadhi ya washiriki wa mkutano wa umoja wa wanawake vijana wa kikristo 
duniani.
Dr
 Anna Kimaro mganga wa zamu wa kituo cha afya Kaloleni aliyebeba faili 
kwapani akiwa na wajumbe wa mkutano wa umoja wa wanawake vijana wa 
kikristo duniani YWCA walipo tembelea katika kituo hicho jijini arusha.
 Baadhi
 ya wajumbe wa mkutano wa umoja wa wanawake vijana wa kikristo duniani 
walipofanya ziara katika kituo cha afya cha Kaloleni jijini arusha 
kujionea hali ya huduma kwa akina mama wajawazito na wasichana wenye 
ujauzito.
Baadhi
 ya wajumbe wa mkutano wa umoja wa wanawake vijana wa kikristo duniani 
walipofanya ziara katika kituo cha afya cha Kaloleni jijini arusha 
wakipata maelezo ya kina kutoka kwa moja ya wafanyakazi wa kituo hicho.
Arusha yetu blog 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni