Jumatatu, 5 Oktoba 2015

MBUNGE VITI MAALUM MBEYA, DKT MARY MWANJELWA, AMNADI AYASI NJARAMBAHA MBEYA VIJIJINI

 Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Mwanjelwa(kushoto), akiwa amemshika mkono mgombea Udiwani kata ya Bonde la Songwe, Jimbo la Mbeya Vijijini jana, Ayasi Njarambaha, akimwombea kura.

Pia alimwombea kura  urais wa CCM Dkt. John Magufuli, mgombea Ubunge wa jimbo la Mbeya Vijijini, Oran Njeza na mgombea ubunge kupitia CCM kata ya Bonde la Songwe, Ayasi Njalabaha.
 Mgombea Udiwani kata ya Bonde la Songwe, Jimbo la Mbeya Vijijini jana, Ayasi Njarambaha(kulia), akimwaga sera zake mbelke ya Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Mwanjelwa.

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Manjelwa, akifurahia pamoja na mgombea Udiwani kata ya Bonde la Songwe, Jimbo la Mbeya Vijijini jana, Ayasi Njarambaha, alipofika katika kata hiyo na kumwombea kura kwa wananchi.
 CCM HOYEEEEEEE.......
HAPA SERA TU, KEJELI ZINA WENYEWE.
Magufuli hiyeeee... Songwe Hoyeee....Ayasi hoyeeeee..
Katikati ni mama mzazi wa mgombea Udiwani kata ya Bonde la Songwe Ayasi Njalambaha. Mama Sophia ni maarufu sana eneo la Songwe Mkoani Mbeya.
Mama Sophia, aliitwa jukwaani na Dkt. Mwanjelwa na akamwombea kura kwa wananchi mwanaye wa pekee.
Machifu nao walikuwepo eneo la Mkutano huo...

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Mwanjelwa(kushoto), akiwa anateta jambo na mgombea Udiwani kata ya Bonde la Songwe, Jimbo la Mbeya Vijijini jana, Ayasi Njarambaha.

 Mbunge wa viti maalum mkoa wa Songwe, Neema Mwandabila, akishikana mkono na kupongezana na mbunge mwenzake wa mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Mwanjelwa(kushoto), katika mkutano wakumnadi mgombea Udiwani kata ya Bonde la Songwe, Jimbo la Mbeya Vijijini jana, Ayasi Njalambaha.
 Mbunge wa viti maalum mkoa wa Songwe, Neema Mwandabila, akiomba kura kwa ajili ya mgombea urais wa CCM Dkt. John Magufuli, mgombea Ubunge wa jimbo la Mbeya Vijijini, Oran Njeza na mgombea ubunge kupitia CCM kata ya Bonde la Songwe, Ayasi Njarabaha.

MBUNGE VITI MAALUM MBEYA, DKT MARY MWANJELWA, AMNADI AYASI NJALAMBAHA MBEYA VIJIJINI

 Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Mwanjelwa(kushoto), akiwa amemshika mkono mgombea Udiwani kata ya Bonde la Songwe, Jimbo la Mbeya Vijijini jana, Ayasi Njalambaha, akimwombea kura.

Pia alimwombea kura  urais wa CCM Dkt. John Magufuli, mgombea Ubunge wa jimbo la Mbeya Vijijini, Oran Njeza na mgombea ubunge kupitia CCM kata ya Bonde la Songwe, Ayasi Njalabaha.
 Mgombea Udiwani kata ya Bonde la Songwe, Jimbo la Mbeya Vijijini jana, Ayasi Njalambaha(kulia), akimwaga sera zake mbelke ya Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Mwanjelwa.

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Manjelwa, akifurahia pamoja na mgombea Udiwani kata ya Bonde la Songwe, Jimbo la Mbeya Vijijini jana, Ayasi Njalambaha, alipofika katika kata hiyo na kumwombea kura kwa wananchi.
 CCM HOYEEEEEEE.......
HAPA SERA TU, KEJELI ZINA WENYEWE.
Magufuli hiyeeee... Songwe Hoyeee....Ayasi hoyeeeee..
Katikati ni mama mzazi wa mgombea Udiwani kata ya Bonde la Songwe Ayasi Njalambaha. Mama Sophia ni maarufu sana eneo la Songwe Mkoani Mbeya.
Mama Sophia, aliitwa jukwaani na Dkt. Mwanjelwa na akamwombea kura kwa wananchi mwanaye wa pekee.
Machifu nao walikuwepo eneo la Mkutano huo...

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Mwanjelwa(kushoto), akiwa anateta jambo na mgombea Udiwani kata ya Bonde la Songwe, Jimbo la Mbeya Vijijini jana, Ayasi Njalambaha.

 Mbunge wa viti maalum mkoa wa Songwe, Neema Mwandabila, akishikana mkono na kupongezana na mbunge mwenzake wa mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Mwanjelwa(kushoto), katika mkutano wakumnadi mgombea Udiwani kata ya Bonde la Songwe, Jimbo la Mbeya Vijijini jana, Ayasi Njalambaha.
 Mbunge wa viti maalum mkoa wa Songwe, Neema Mwandabila, akiomba kura kwa ajili ya mgombea urais wa CCM Dkt. John Magufuli, mgombea Ubunge wa jimbo la Mbeya Vijijini, Oran Njeza na mgombea ubunge kupitia CCM kata ya Bonde la Songwe, Ayasi Njalabaha.

Jumamosi, 3 Oktoba 2015

DR.MARY MWANJELWA, MGENI RASMI KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA BONDE LA SONGWE KESHO TAREHE4.10.2015

Mgombea Udiwani kata ya Bonde la Songwe, Jimbo la Mbeya Vijijini, Ayasi Ramadhani Njarambaha.

 Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Mwanjelwa, akimnadi mgombea udiwani wa kata ya Mbalizi road, Jimbo la Mbeya Mjini, Adam Simbaya wiki hii.
 Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Mwanjelwa, akimnadi mgombea udiwani wa kata ya Mbalizi road, Jimbo la Mbeya Mjini, Adam Simbaya wiki hii.
 Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Mwanjelwa,akiwapungia mkono wananchi waliokuwa wamejitokeza kwenye kampeni za udiwani na Ubunge kata ya Mbalizi Road, jimbo la Mbeya Mjini, wiki hii.
 Mgombea udiwani wa kata ya Mbalizi road, Jimbo la Mbeya Mjini, Adam Simbaya, akimweleza Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Mary Mwanjelwa, baadhi ya kero za kata hiyo.

 Mgombea Ungunge kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mbeya Mjini, Capt. SambweShitambala, akinadi sera katika mkutano wa hadhara kata ya Mbalizi Road wiki hii.
 Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Mwanjelwa, akimpa mkono wa Kheri, mgombea ubunge Jimbo la Mbeya Mjini, Capt. Sambwee Shitambala.

 Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mbeya Mjini, Capt. SambweShitambala(kulia), akinadiwa na kampeni meneja wake, Charles Mwakipesile, katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mbalizi Road wiki hii.
 
Picha ya chini ya Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Mwanjelwa, akiwa kwenye moja ya mikutano ya hadhara kuwanadi wagombea Mbeya Mjini.

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI NDANI YA SIKU 14

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na kamati ya uli...